Hapa ni sawa na kusema, siri ya biashara na biashara ya siri...kwa mfano, unaweza kuona na usiangalie, vilevile unaweza kuangalia na usione....ie, unapita mtaani "ukaona" vijana wanacheza mpira, lakini "usiangalie"...mwezi umeandama, m2 anakuonyesha "angalia",pale, lakini "usione"! Kuona na kuangalia, ni vi2 viwili tofauti. Aaah!