Naomba mnijuze kama kuna ubaya kumwambia mtu aliye hai hilo neno la rest in peace (r.i.p) maana navyo jua tafsiri yake ni pumnzika kwa Amani.
Jana nilimuuliza demu wang anafanya nn usiku akasema amepumnzika tu basi nikamwambia r.i.p alitoa povu sanaa...
Au nilikosea kusema ivo?
duh basi sorykotekote linatumika r.i.p [HASHTAG]#miss[/HASHTAG] chagga
Ila sasa si unaona kaishia kutoa povu hajakwambia kwa nini usimwambie.yeye pia ni human kama wengne