Kuna ubaya kupishana miaka 10??

Age are'nt nothing but number..la msingi hapo kaka nakushauri angalia tabia na mapenzi ya dhati wanawake wa siku hizi ni hatari usipokua makini utarudi jamvini apa kuomba ushauri tena.
 
Hivi mpenzi na mume/mke ni vitu viwili tofauti eeh.. Manake wamama wanamiliki viserengeti boyz na wababa wanamiliki vibrainkokashen..
 
wifi yenu kanizidi miaka 11 , she is still cute, nakula mzigo kama kawa , tunaishi freshi ,
 
[/QUOTE]
hata 20 au 25 hakuna ubaya . chamsingi mtu wako awe muelewa na hali yako otherwise kama hakuna mawasiliano atakuponda sana
 
hata mpishane miaka 20 au 25 hakuna ubaya . chamsingi mtu wako awe muelewa na hali yako otherwise kama hakuna mawasiliano atakuponda sana
 
 
mmmmh thread za leo,
ngumu sana kuchangia narudi chit chat.
 
Umeona eeh. Watu wanaangalia karibu. Tofauti ya umri = tofauti ya hobby; life lazima iwe boring ukiwa na mtu ambaye mnachoendana ni sex tuuuu. Good husband/ wife ni yule unayeweza kumuona kama rafiki si sex partner peke yake.

 
Go ahead mkuuu,hiyo haina shida ila asiwe under 18
 
Age are'nt nothing but number..la msingi hapo kaka nakushauri angalia tabia na mapenzi ya dhati wanawake wa siku hizi ni hatari usipokua makini utarudi jamvini apa kuomba ushauri tena.

Inatasho NUKUTA

 
Haina shida,cha muhimu ni mapenzi ya kweli,nyote muwe na furaha.
 
Duuh kibabu hasaidiwi kweli huyu, au viagra full dose!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…