ram JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 9,326 Reaction score 8,505 Apr 19, 2012 #41 Nilidhani bidada ndo anakuzidi miaka kumi, hakuna shida mkaka go... on, ni kawaida kabisa mwanaume kumzidi umri mwanamke
Nilidhani bidada ndo anakuzidi miaka kumi, hakuna shida mkaka go... on, ni kawaida kabisa mwanaume kumzidi umri mwanamke
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,332 Apr 19, 2012 #42 its not a problem
Tume ya Katiba JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 4,896 Reaction score 1,862 Apr 19, 2012 #43 Hata mkipishana miaka 40 hakuna tatizo,
mgeni10 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2010 Posts 1,108 Reaction score 370 Apr 19, 2012 #44 Umri ni Namba Tu, Heshma , Maelewano na Mapenzi ya kweli kati yenu ndio jambo la msingi
LuisMkinga JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 3,255 Reaction score 6,252 Apr 20, 2012 #45 mama D said: jakaya vs salma baba mkubwa na mama mkubwa babu na bibi Click to expand...
fazaa JF-Expert Member Joined May 20, 2009 Posts 2,984 Reaction score 1,031 Apr 20, 2012 #46 Mimi naona bora mpishane miaka mitatu au mitano kama mke wa kwanza. Mke wa pili hata mkipishana miaka 10 au 20 hakuna shida.
Mimi naona bora mpishane miaka mitatu au mitano kama mke wa kwanza. Mke wa pili hata mkipishana miaka 10 au 20 hakuna shida.
kigol Member Joined Apr 17, 2012 Posts 16 Reaction score 2 Apr 20, 2012 #47 Asprin said: Hakuna ubaya wowote. source: Mandela Vs Graca Malecela Vs Anne Kilango Dr. Slaa Vs Josephine Mushumbusi Click to expand... Wangetudhibitishia hawa kama kweli haina ubaya sio mnasema tu kwavile mnawaona, wenye experience ndio watuambie
Asprin said: Hakuna ubaya wowote. source: Mandela Vs Graca Malecela Vs Anne Kilango Dr. Slaa Vs Josephine Mushumbusi Click to expand... Wangetudhibitishia hawa kama kweli haina ubaya sio mnasema tu kwavile mnawaona, wenye experience ndio watuambie