Sijajua kwa wanawake ila nilikuwa na jaribu kuangalia kazi yake haswa ni nini
hizo nywele huwa zinazuia msuguano na kuondoa majasho
ukinyoa nikama mda wote unahisi umetepweta yaani zile jasho zinakuwepo tu mda wote
Pia hata kutembea kutabadirika maana ule msuguano wa kalio na kalio utauona
so nakushauri usizinyoe Mkuu, pia hizo kumbuka hazioti kuwa ndefu kama rasta wengine tunajua tunazo ukiwa unatawaza tu
hazioti kusema zinaleta kero fulani lakini nadhani ukinyoa hautakuwa sawa kabisa pia sio kama ni sawa kwa mwanaume kuziondoa