Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

Mkuu bila shaka haya ni mandalizi ya kuingia Ikulu
 
dalili za ushoga
 
Umenikumbusha sekondary imebidi nicheke kwa kumkubuka jamaa angu aliulizaga tukachekanà sana japo wote tulikua hatujui lolote ila tulikua tunamkataza kuzinyoa Ni hivi hutakiwi kuzinyoa kwanza mwanaume kujigusa maeneo hayo zaidi ya nusu dakika unatafuta nini ukishajitawaza inatosha
sometime zinakuaga ndefu ila huwaga zinapungua zenyewe wakati unajitawaza zinaondoka outomatic
kama zinakusumbua au zinakubugudhi labda kwa ukavu wake ruksa paka mafuta ila si lazima rejea hapo juu si ruhusa kujishika sehemu izo kwa zaidi ya nusu dk
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Mnadhani yale mawigi mnayovaa yanatokana na nini, si ni nywele hizo.
Asilimia 99.9 hapa wamesema hizo nywele hazinyolew wakat n uchafu tu kama uchafu mwingine...nywele hizo zinaficha kinyesi ukiplus na jasho sitaki kujua hiyo harufu yake...wanawake tuna kazi.
 
Habari wana Jf

Katika pitapita zangu nimekutana na vijana wakibishana kuhusu swala ya mtoto wa kiume kunyoa nywele zinazozunguka sehemu ya haja kubwa.

Wengine wakisema sio sahihi mtoto wa kiume kufanya hivyo.

Wengine wakisema kuwa ni sahihi kunyoa hizo nywele kwasababu ni uchafu.

Nini mitazamo yenu juu ya hili??

Kwangu mimi nipo bega kwa bega na wazee wa kupinga kunyoa hizo nywele.
 
Kuna mambo mwanaume unaweza ukawa unayafanya kwania nzuri kwa ajili ya kujiweka swafi wewe mwenyewe lakini ukisema hadharani huwa nanyoa hizi sehemu basi unaacha maswali.

Unanyoa ili aone nani?

Na unajinyoaje au anakunyoa nani?

Hayo ni mojawapo ya maswali unayoweza ukaulizwa.

Ni sawa tu na kupaka mafuta matakoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…