Ukihama ccm ndiyo mwisho wako, mama analijua hilo wala hatahangaika kuhamia chadema wakati anajua uimara wa ccm ambayo wewe unasema ni dhaifu. Marehemu I dd Simba aliwahi kusema; usimuone mlevi anapepesuka ukadhani amelewa" hiyo ndiyo ccm
Tunafeli kwenye matumizi ya vyombo vya dola kwenye uchaguzi. Hakuna pengine tunapofeli ndugu yangu.Chadema hamtajifunza toka 1992 tabia ni zilezile kwa watu wale wale, yaani toka mzee Samuel Malecela akiwa kiongozi hadi leo amestaafu chadema bado tabia zilezile na hamjaijua ccm ambayo ndiyo mshindani wenu. Mnafeli wapi lakini???
Kwa hiyo unaamini kuwa haitafika siku pakatokea mtifuano ndani ya ccm kiasi cha kuimega?Ahamie upinzani baada ya muda wake wa uRais kwisha? Kwa lengo gani? Halafu unajua kuwa Tanzania hakuna uRais nje ya CCM labda mapinduzi ya nguvu (violent) yafanyike na kufanikiwa? And that, that’s a pipe dream?
Tafadhali tujulishe vichache ya hivyo 150Auwezi kuutenga URAIS wa TANZANIA na CCM atakae jaribu hili ndio atajua kwanini Tanzania haikumwaga damu kupata uhuru.Nimalize kusema hakuna RAIS nje ya CCM.Kauli ya "KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI" inavitu karibu 150 ndani yake
Si kweli. Ingalikuwa hivyo basi ccm wangefanya fair play uchaguzi uliopita waone moto wakeNachowapongeza Chadema ni kuamini kuwa viongozi wanaopaswa kuongoza wapo CCM.
Kwenye hazina ya viongozi wa CCM Chadema wanatamani wapate viongozi kutokea humo.
Nani alikwambia mtu mjinga na mpumbavu anapewaga fair?Si kweli. Ingalikuwa hivyo basi ccm wangefanya fair play uchaguzi uliopita waone moto wake
Ccm wameazima viongozi wengi toka chadema kina kitila, waitaraNachowapongeza Chadema ni kuamini kuwa viongozi wanaopaswa kuongoza wapo CCM.
Kwenye hazina ya viongozi wa CCM Chadema wanatamani wapate viongozi kutokea humo.
Sio kinyume chake?Nachowapongeza Chadema ni kuamini kuwa viongozi wanaopaswa kuongoza wapo CCM.
Kwenye hazina ya viongozi wa CCM Chadema wanatamani wapate viongozi kutokea humo.