Kuna ubaya wowote kwa chama tawala kuwa chama dola?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Sijui kwa ufasaha maana ya chama dola, ila nimeshasikia mara kadhaa CCM ikilaumiwa kuwa ni chama dola!

1. Ni vibaya kuwa chama dola?

2. Katiba inasemaje kuhusiana na hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…