Kuna ubishi apa eti kuku na yai nani mkubwa?

Hebu fikiria
Ukiweka chakula bila kuki hifadhi kwa siku 4
Kitaoza na FUNZA hutokea

Fikiria tena CHAWA wanatoka wapo ?

Mwisho kuku ndo mkubwa
 
Hiyo imeshakuwa proven scientifically Kuku alianza na hilo swali kufia hapo hapo. Umiza kichwa kidogo fuatilia au Google.
 
Mkubwa babu yako watu tuna njaa mnaleta ujinga jiulize kati ya bao na mtu nan,mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…