Kuna ubishi apa eti kuku na yai nani mkubwa?

embu tafakari kwanza kuwa sisi binadamu tulitoka wap au nin kilianza? then utapata jibu kulingana na unavoamini? ina maana hat bios hujasoma mkuu?
 
Kuku ni bird and human beings is mamals
sasa achana na iyo,ishu si ipo ni kitu gan kilianza? kwani katika theories za origin of life wameelezea kwa kutofautisha au kwa makundi ya viumbe? fuatilia kisha nipe jibu.refer supernatural power,spontaneous theory na zngne
 
Those theories are exploring by people like you, you see
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…