Kuna uchawi ambao ni hatari japo nasikiaga wa kutumia vinavyo husika mazao na kilimo

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Leo ndio naelezwa kuwa watu wengi wanaweza kuzurika kulingana na makabira yao na mazao yao.

Nilipata story kuna uchawi ambao unaweza ukawekewa kwenye muembe,mnazi,ndizi,mpapai na mengine ambayo yatakuwa yakianguka basi ndio mtakavyo anguka kwenu ijalishi ni kifo au mengine wanayotaka.

Hii mada nimekuta sehemu fulani.
 
Acheni kutukuza vibudu,hakuna uchawi wenye kustahimili UWEZA WA KRISTO YESU.
 
Kwani yesu wakati una msoma hakuwepo shetani .
Unapo ingia kujua jema na baya tambua kuna mungu na shetani. Sasa kama umeme ungetemea chanya ungumjua huyo bila waovu
 
Back
Top Bottom