Sawamuulize aliye tunga nyimbo inaitwa misuri ya imani
Acheni kutukuza vibudu,hakuna uchawi wenye kustahimili UWEZA WA KRISTO YESU.Leo ndio naelezwa kuwa watu wengi wanaweza kuzurika kulingana na makabira yao na mazao yao.
Nilipata story kuna uchawi ambao unaweza ukawekewa kwenye muembe,mnazi,ndizi,mpapai na mengine ambayo yatakuwa yakianguka basi ndio mtakavyo anguka kwenu ijalishi ni kifo au mengine wanayotaka.
Hii mada nimekuta sehemu fulani.
Kwani yesu wakati una msoma hakuwepo shetani .Acheni kutukuza vibudu,hakuna uchawi wenye kustahimili UWEZA WA KRISTO YESU.