Kuna uchawi wa levels ngapi?

Kuna uchawi wa levels ngapi?

Uchawi ni Imani yako Mkuu, ukiamini inakuwa, Imani ina nguvu, mimi nimeshawaambia watu mara zaidi ya 10 kuwa kama uchawi upo wauthibitishe hata kwangu, waniroge wawezavyo wakitaka mate yangu, kucha, kipande cha nguo au nywele waje kuchukua.

Uchawi ungekuwepo wakoloni wasingeweza kutesa babu zetu kiasi cha kuwafanya mababu wanne wa kiafrika wambebe mtawala mmoja mweupe kutoka kigoma mpaka Kilimanjaro kulima na kupalilia mkonge.

Uchawi ungekuwepo wachezaji wa kinigeria wangekuwa wanashinda kombe la dunia kila wanaposhiriki, Simba ingefika rank ya Barcelona na zaidi.

Lakini USHINDI na hata UTAJIRI unategemea zaidi JUHUDI, BIDII na MAANDALIZI.

Sanasana Uchawi ni story za kutungwa zinazosambazwa na watu tu kutoka sehemu moja mpaka nyingine na kuaminiwa.

Soma kitabu kinaitwa

'' Faith can change your World'' cha Lister Sumrall, utaelewa sana hii kitu.
 
Zipo level tatu
Uchawi wa kuuwa
Uchawi wa kutesa
Uchawi wa kufarakanisha

Nakumbuka kuna wazee walikolofishana kilabuni mmoja akamwambia mwenzake utaona
Yule mwingine akisema huwezi

Amini usiamini mmoja wapo kati ya hao wazee alipatwa na vidonda kwenye ulimi na kupelekea ulimu kuoza na hatimae alikufa yule mzee

Uchawi upo sana
 
Kama ni muumini wa dini(e.g Ukristo)basi utakubali kuwa uchawi upo ila km ni muumini uchwala usiesoma vitabu na kuviamini basi utaamini hakuna uchawi.

Km upo upo tu huwezi jua kamwe ni namna gani nguvu za kiroho(giza) zinavyofanya kazi.
 
Bashiru njoo ujibu hili swali.
Wewe SI ndio ulikua kinara wa kukata watu walioshinda na kuweka mabumunda......
 
Kama ni muumini wa dini(e.g Ukristo)basi utakubali kuwa uchawi upo ila km ni muumini uchwala usiesoma vitabu na kuviamini basi utaamini hakuna uchawi.

Km upo upo tu huwezi jua kamwe ni namna gani nguvu za kiroho(giza) zinavyofanya kazi.
Wewe umeshuhudia uchawi na unaweza kuuthibitisha?
 
Ok Mkuu...shukrani kwa maelezo yako,kuna jambo nimejifunza.

Ila Mkuu nijuavyo hizi nguvu zipo,cha muhimu ni kuzipotezea na kuwa mtu wa imani tuu...kama ni kusali unasali sana.

Zipo kila kona,miji,vijijini,maeneo ya ofisini na hata kwa wakubwa huko
 
Freemason ndo level ya mwisho nnayoijua Mimi ila ya Kwanza siijui..
Sawa sawa Mkuu,shukrani Mkuu

Nahisi ya kwanza ni ile mmojawapo akizinguliwa,anatupiwa bomu la kuhara wiki nzima[emoji23].jokes
 
Zipo level tatu
Uchawi wa kuuwa
Uchawi wa kutesa
Uchawi wa kufarakanisha

Nakumbuka kuna wazee walikolofishana kilabuni mmoja akamwambia mwenzake utaona
Yule mwingine akisema huwezi

Amini usiamini mmoja wapo kati ya hao wazee alipatwa na vidonda kwenye ulimi na kupelekea ulimu kuoza na hatimae alikufa yule mzee

Uchawi upo sana
Shukrani sana Mkuu...

Nahisi hapo kufarakanisha ni issue za mandoto na mambo flani flani.

Kutesa ndo ile kuuwa mifugo may be,manuksi na mabalaa ya hovyo.

Wa kuuwa sijaushuhudia bado.

Ila muhimu ungezifafanua mubashara tupate somo Mkuu[emoji120]
 
:::::::::::::::::::::::
weka hapa jina lako halisi na la mama yako uone kivumbi na jasho,
:::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::
Top grade is 33degtee.
inayoruhusu kupotea ghafla,kujigawanya yaani ndani kwako unakuwepo na uwanja wa taifa kutizama ball unakuwepo pia.
 
Back
Top Bottom