Mama Nehemiah
JF-Expert Member
- Sep 9, 2018
- 244
- 439
Kumbe! Sasa solution yake ni nini mkuu?Ufa hauzibiki. Sana sana nikwamba utatengeneza ya wewe kutouona.
Shukrani.Kuna Aina nyingi za nyufa,
- Kuna ufa unatokana na kusinyaa ama kukauka kwa material Kama plasta(shrinkage)...
Umejenga kwenye njia? Kama ulipojenga palikuwa ni njia ya muda mrefu basi huo ufa utaendelea kuwepo. Ila endelea kujaribu kutafuta namna ya kuutoa kwa kuanzia chini.Habari,
Naomba ushauri wa kitaalamu au kutoka kwa mdau aliyepitia hii changamoto ya ufa kwenye ukuta wa nyumba baada ya kumaliza ujenzi...
Hawa si huwa wanasema wanataaluma wana gharama kubwa sijui watafanyiwa na mafundi kitu bora, sasa wapambane na hali yao ya kuziba ufa kwa magunia 😆 😆 😆 😆Yani unazoba ufa kwa magunia?
Ujenzi ni taaluma ambayo watu wanaisotea miaka minne chuoni....
Picha wapi?
Unaweza kuzibika, kwanza aanzie pale ulipoanzia, lili atumie nondo
Ufa mara nyingi unasababishwa na msingi kutokuwa imara.Habari,
Naomba ushauri wa kitaalamu au kutoka kwa mdau aliyepitia hii changamoto ya ufa kwenye ukuta wa nyumba baada ya kumaliza ujenzi....
Hawajui, wanataka kumiliki nyumba sawa na bureYani unazoba ufa kwa magunia?
Ujenzi ni taaluma ambayo watu wanaisotea miaka minne chuoni...
Njia inasababishaje ufa?Umejenga kwenye njia?Kama ulipojenga palikuwa ni niia ya muda mrefu basi huo ufo utaendelea kuwepo.Ila endelea kujaribu kutafuta namna ya kuutoa kwa kuanzia chini.
Dah mkuu hilo swali ni gyumu sana kwangu, ila ukijenga kwenye njia ya miguu ya miaka mingi na ya kihistoria basi uaweza ukapata ufa usiojengeka kirahisiNjia inasababishaje ufa?
Kutokana na Newton third law of motionNjia inasababishaje ufa?