Kuna ufisadi mkubwa umefanyika Katika ununuzi wa Mbaazi kutoka kwa wakulima wilayani Kiteto, Manyara

Kuna ufisadi mkubwa umefanyika Katika ununuzi wa Mbaazi kutoka kwa wakulima wilayani Kiteto, Manyara

Joined
Sep 14, 2023
Posts
82
Reaction score
74
Hali ya kushangaza na kustajabisha Katika zoezi la Mnada wa zao la Mbaazi. Kuna ufisadi mkubwa umefanyika Katika ununuzi wa Mbazi kutoka kwa wakulima wilayani Kiteto.

Mnada wa kwanza na waoili kuna tani zaidi ya 150 zilichukuluwa kwa wakulima na kupakiwa kwenye Malori direct kutoka kwenye maghala ya wakulima nyumba zao.

Hizo tani zimetozwa tozo mbalimbali. Kama gharama za Mtunza ghala, tozo za Ushirika, zaidi ya 200/ Tsh. kwa kila kilo.

Ajabu huyo mtunza ghala amechukuwa Tsh 40/ bila kazi yoyote hizo mbazi zimepakiliwa majumbani Mwao na ushahidi upo, tunaomba ufuatiliaji.

Kila kitu kipo wazi, tunaomba ufuatiliaji kwenye upigaji huu. Hii ni cheni ya wapigaji wengi Sasa. Tupo tayari kuwafichua.
 
Back
Top Bottom