Kuna UFISADI NHC ila takukuru siwaamini kuwapa taarifa

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,840
Reaction score
8,202
Kwa sasa naona kila mtu anajichukulia chake mapema before 2030.
Takukuru kama mngekuwa na matokeo chanya kwenye kazi zenu
ningewaamini na kuwapa taarifa juu ya kinachoendelea huko shirika la Nyumba la taifa (NHC).
Kwa sasa limekuwa siyo shirika la nyumba la taifa bali ni ni shirika la nyumba la watu binafsi.
 
Akina MO DEWJI wameanza kuondoa biashara zao Tanzania baada ya kuona nchi inaenda kufa Kiuchumi kutokana na rushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…