Wanaona hizo tiba zinahatarisha ajira na biashara za mataifa rafikiMfano figo miti inatibu vizuri kabisa hivyo kuna haja ya mamlaka kuanzisha vyuo watu wangeongezewa maarifa na ujuzi wa kutumia miti nadhani hili lingesaidia sana.
Kuna watu hapa watakuambia huo ni uchawi na ushirikina...pasi na kujiuliza kabla ya madawa ya kisasa Babu zetu walitumia nini kama si miti shamba. Naunga mkono hoja yakoHivi jamani kuna ugumu gani Serikali kuanzisha vyuo vikuu vya maswala ya dawa za asili?
Nilidhani pale Muhimbili wanatoa kozi kumbe ni wizi mtupu hakuna cha maana Serikali ilitizame hili swala kwa weledi mzuri kuna magonjwa mengi yanatibiwa na miti shamba, magonjwa ambayo hosptali yanapigwa tantalila.
Mfano figo miti inatibu vizuri kabisa hivyo kuna haja ya mamlaka kuanzisha vyuo watu wangeongezewa maarifa na ujuzi wa kutumia miti nadhani hili lingesaidia sana.
Samia kaiua NIMR aliikuta ishaanza kutengewa fedha kwaajili ya utafiti wa tiba asili baada ya kunyesha jitihada katika issue ya Corona.Hivi jamani kuna ugumu gani Serikali kuanzisha vyuo vikuu vya maswala ya dawa za asili?