nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,902
- 2,488
Ukiachana na wanafunzi ambao wanahudhuria shule ama vyuo ambako kuna madarasa na maeneo ya kujisomea, raia wa kawaida wanaotala kujisomea wanapata changamoto kweye mji huu
Hasa ukizingatia watu wengi wanaishi mitaa na mazingira yasiyo encourage utulivu wa kujisomea.
Kimbilio lao pekee ilipaswa kuwa maktaba za umma.
Ila sasa, Katika mji huu mkubwa wa mamilioni ya watu maktaba tunayoifahamu ni moja tu iliyoko posta.
Hivyo ni dhahiri kuna uhitaji mkubwa wa maktaba mji huu tena sio moja,
Haiwezekani watu wa tegeta, mbezi, kigamboni wafanye kuuzunguka mji wote siku nzima kwenda na kurudi toka posta kufuata maktaba
Ni dhahiri, Kila wilaya ilipaswa iwe na maktaba,
Wanaohusika wanapaswa kunotisi hili hitaji.