oldd vampire JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 253 Reaction score 52 Jun 25, 2012 #1 Habari zenu wana jf doctors,naombeni msaada wenu na hili,je kama mtu ana UTI je mimba yaweza toka pamoja na kizazi ikifika miez mi4?nisaidieni jaman?
Habari zenu wana jf doctors,naombeni msaada wenu na hili,je kama mtu ana UTI je mimba yaweza toka pamoja na kizazi ikifika miez mi4?nisaidieni jaman?
webondo JF-Expert Member Joined Apr 29, 2012 Posts 1,713 Reaction score 383 Jun 25, 2012 #2 Madaktari kama wamegoma vile... au huku hawajagoma???
K kisukari JF-Expert Member Joined Jul 16, 2010 Posts 4,603 Reaction score 4,119 Jun 25, 2012 #3 mimba haiwezi kutoka