Galadudu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 2,304
- 773
Hivi ni kitu gani hicho, na kina nguvu gani kwa wasanii na watu wa kawaida, maana mtu asifanikiwe kdg unaambiwa ni freemason, sasa imekuwa mtu anajickia ujiko sana akiitwa freemason, wasanii wetu nao iwe wa kuimba au kuigiza, wameshakuwa mabwege kabisa, eti kila akiweka pozi la kupigia picha anafanya zile ishara zao wanazoona ndo za ki freemason
Hebu nisaidieni juu ya huo upuuzi na mnijuze una uhusiano gani na mafanikio ya mtu
Hebu nisaidieni juu ya huo upuuzi na mnijuze una uhusiano gani na mafanikio ya mtu