Kuna uhusiano gani hapa?

Mr wenu

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2017
Posts
1,088
Reaction score
1,666
Habari za mchana sana JF wenzangu.
Uhusiano ni UPI hapa.
Wasanii waliowengi wakubwa wametoboa pua na masikio,wanavaa hereni,wamejichora tattoo mwilini mwao.
Naomba msaada juu ya hili.
 
Ukipak lipstick hujajichor kwa sababu ukiamua kufut unafut bila mwil wak kudhurik
Good jibu lako linaonyesha unajipaka.. na ina pia.

Sasa ni kama mmoja anaendesha sport bike mwingine anaendesha Aston Martin DB 10.
 
nilishawahi kusikia kuwa wale jamaa kwa trump huchora tatoo as sign ya kukumbuka makovu ya babu zao waliyokuwa wanayapata kwa viboko enzi za utumwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…