monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Habar za leo ndugu wanajukwaa,
Naomba kufahamishwa,kuna uhusiano gani kati ya Club ya Yanga na serikali ya ccm
Tawi la chamaHabar za leo ndugu wanajukwaa,
Naomba kufahamishwa,kuna uhusiano gani kati ya Club ya Yanga na serikali ya ccm
Tawi la Lumbumba ndio maana kamati tendaji wamejazana wanalumumba watupu..wanaka kujaribu SImba lakini imekuwa ngumu....Habar za leo ndugu wanajukwaa,
Naomba kufahamishwa,kuna uhusiano gani kati ya Club ya Yanga na serikali ya ccm
Oooh kumbeYanga ilianzishwa mwaka 1935,baada ya timu ya Simba.Simba ilianza kabla ya Yanga ikiwa ni timu ya wafanyakazi wa serikali ya mkoloni na wafanyabiashara.Ila timu ya kwanza kusajiliwa ni Yanga.
Yanga ilianzishwa kijiwenii na baadae kuwa rasmi na kusajiliwa 1935,nakuwa sehemu ya umoja wa chama cha kutetea maslahi ya wafanyakazi wa kiafrika TAA(Tanganyika African Association) na baadae kuja kuwa chama siasa TANU mwaka 1954.
Dar essalaam Young Africans ikawa rasmi chini ya umoja wa vijana wa TANU,(TANU Youths League).
Yanga na Simba hazina uhusiano wowote na ccm wakati ule vilianzishwa ili kuwaweka pamoja waafrika wakati wa harakati za uhuru ndio maana Hayati Mzee Karume alivichangia vilabu vyote.
Yanga ilianzishwa mwaka 1935,baada ya timu ya Simba.Simba ilianza kabla ya Yanga ikiwa ni timu ya wafanyakazi wa serikali ya mkoloni na wafanyabiashara.Ila timu ya kwanza kusajiliwa ni Yanga.
Yanga ilianzishwa kijiwenii na baadae kuwa rasmi na kusajiliwa 1935,nakuwa sehemu ya umoja wa chama cha kutetea maslahi ya wafanyakazi wa kiafrika TAA(Tanganyika African Association) na baadae kuja kuwa chama siasa TANU mwaka 1954.
Dar essalaam Young Africans ikawa rasmi chini ya umoja wa vijana wa TANU,(TANU Youths League).
Yanga ilianza kabla ya simba alaaaaYanga ilianzishwa mwaka 1935,baada ya timu ya Simba.Simba ilianza kabla ya Yanga ikiwa ni timu ya wafanyakazi wa serikali ya mkoloni na wafanyabiashara.Ila timu ya kwanza kusajiliwa ni Yanga.
Yanga ilianzishwa kijiwenii na baadae kuwa rasmi na kusajiliwa 1935,nakuwa sehemu ya umoja wa chama cha kutetea maslahi ya wafanyakazi wa kiafrika TAA(Tanganyika African Association) na baadae kuja kuwa chama siasa TANU mwaka 1954.
Dar essalaam Young Africans ikawa rasmi chini ya umoja wa vijana wa TANU,(TANU Youths League).
Ni kweli maana MO alkuwa Mbunge wa Upinzani, pia watu wao wote hawapo CCM.Tawi la Lumbumba ndio maana kamati tendaji wamejazana wanalumumba watupu..wanaka kujaribu SImba lakini imekuwa ngumu....
Bora umewaeleza hawa vipofu.Yanga na Simba hazina uhusiano wowote na ccm wakati ule vilianzishwa ili kuwaweka pamoja waafrika wakati wa harakati za uhuru ndio maana Hayati Mzee Karume alivichangia vilabu vyote.
kwani nini kimekusibu??Habar za leo ndugu wanajukwaa,
Naomba kufahamishwa,kuna uhusiano gani kati ya Club ya Yanga na serikali ya ccm
Simba ni tawi lililokatika kutoka yanga, acha kupotosha
Mkuu na ajabu kuwa mpaka leo hujui maana ya Tawi, tawi ni sehemu ya kikundi kinachofanya kazi kwa niaba ya makao makuu.
Sasa Simba wanafanya kazi kwa niaba ya Yanga, hebu jiulize.
Hata kama walioanzisha Simba walitokea Yanga, ilimradi Simba haifanyi shuguri za mpira kwa niaba ya Yanga basi huwezi ita Simba tawi la Simba.
Watu wengi walianzisha Chadema, walikua wanachama wa CCM kabla ila Chadema Siyo tawi la CCM.