jupiter001
Member
- May 25, 2023
- 44
- 72
Nilimsikia Padre Kitime , akiongelea suala la Bandari , alisema siku za nyuma Rais hayati Benjamin Mkapa alipotaka kubinafsisha shirika la ndege , kanisa lilimuita mbele ya baraza la maaskofu na kumkarisha .
Hii kauli ya "Kumkalisha kwenye kigoda" ina maana zaidi ya kawaida.
Ni kweli serikali hua inapokea maagizo ya baraza la maaskofu?
Hii kauli ya "Kumkalisha kwenye kigoda" ina maana zaidi ya kawaida.
Ni kweli serikali hua inapokea maagizo ya baraza la maaskofu?