Kwa watoto sina uelewa mzuri, isipokuwa kwa watu wenye ukichaa unaopanda kipindi cha mwezi ni kuwa mwezi huwa una sababisha high na low tide wakati mwezi unapokuwa kwenye uvutano na jua, sasa ile effect ya uvutano kati ya mwezi na jua inayosababisha hiyo high na low tide pia uwa ina effect pia ubongo ambao una abnomality labda wa kuwa na maji mengi nk