Wafuate uwaulize watakujibu sisi hapa sio wasanii
Mara nyingi ni vibe kuamsha mzuka kwa mashabiki pamoja na yeye mwenyewe hii pia niliona kwenye show moja hiv ya Mick meel.
Mambo ya kumwagiana maji tena.
Bora usikae mbele kabisa, au ukae v.i.p kwenye ustaarabu.
Ni vibe tu, au unahisi ni uchawi?
Je vipi hao wasanii wakianza kusimama stejini na kuanza kukojolea mashabiki, hapo utasemaje sasa?
Kwani hayo maji yakiwamwagikia wanakufa?
Mleta uzi una jibu lako tayari kichwani, hapo akili yako inawaza ushirikina tu.
Mleta uzi una jibu lako tayari kichwani, hapo akili yako inawaza ushirikina tu.
Upuuzi tu na kuiga iga usenge tu,mwanamuziki makini hawamwagii maji washabiki wake.sijawahi kumuona Chameleone au Burna boy wanamwaga mimaji ovyo
Upuuzi tu na kuiga iga usenge tu,mwanamuziki makini hawamwagii maji washabiki wake.sijawahi kumuona Chameleone au Burna boy wanamwaga mimaji ovyo