BOMBAY
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 4,732
- 3,508
Wadau habari zenu,
Nimepata frem mahali kwaajili ya kufungua Biashara, kuna Jamaa anahama.
Sasa kuna mdada anaeishi hapa kwenye hii nyumba kanambia kuwa hii nyumba haina Riziki/haina baraka ya pesa. Watu wanaoishi hapo wengi hawana maendeleo. Hivyo nisipoteze Pesa zangu bure.
Sasa hii imekaaje wadau?