Mimi kuna nyumba nilikuwa nataka kuhamia, dada wa kile chumba ninachotaka kuhamia akawa ananiambia "hii nyumba ina wachawi sana we subiri uhamie utaona mwenyewe mauza uza"Wadau habari zenu,
Nimepata frem mahali kwaajili ya kufungua Biashara, kuna Jamaa anahama.
Sasa kuna mdada anaeishi hapa kwenye hii nyumba kanambia kuwa hii nyumba haina Riziki/haina baraka ya pesa. Watu wanaoishi hapo wengi hawana maendeleo. Hivyo nisipoteze Pesa zangu bure.
Sasa hii imekaaje wadau?
Hukuchukua namba yake mkuu.....ili apate ushahuda kidogoMimi kuna nyumba nilikuwa nataka kuhamia, dada wa kile chumba ninachotaka kuhamia akawa ananiambia "hii nyumba ina wachawi sana we subiri uhamie utaona mwenyewe mauza uza"
Huwezi amini nilikaa ile nyumba miaka mitatu na sikuwahi kuona mauza uza yoyote.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Wengine wana shida zao binafsiMimi kuna nyumba nilikuwa nataka kuhamia, dada wa kile chumba ninachotaka kuhamia akawa ananiambia "hii nyumba ina wachawi sana we subiri uhamie utaona mwenyewe mauza uza"
Huwezi amini nilikaa ile nyumba miaka mitatu na sikuwahi kuona mauza uza yoyote.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Fungua barNiibariki kwa kufanya kitu gani mkuu?