Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #41
😲Fact ni kwamba ,,
-- kutofautisha baina ya wauzaji kahawa wa kawaida na wale wanaouza alkasusu.
Hiyo ndy sababu ya kuvaa kimuonekano tofauti na wengine..
Hivyo tu mkuu[emoji44]
Jibu umepata?Sijawahi kuona mtu ambaye anauza alkasusu akiwa amevaa suti, au jezi, au mavazi mengine yoyote.
Wote huvaa ki Aswar Sunnah, suruali fupi na kanzu. Wanavaa sare.
Je, kuna uhusiano gani kati ya wauza alkasusu na itikadi kali za dini?
Je, hawa wauza alkasusu wanafanya biashara au kuna majukumu mengine ya kisiri wanayatekeleza?
Hebu tutafakari
Why?Laanatullah
Hajataja neno gaidiKuna mahusiano,asili ya wauzaji wa hiyo kitu ni Waislamu. Lakini kuvaa hivyo haina maana hao ni Magaidi,hapo ndiyo umeingiza chuki za kidini.
Gonga Alkasusi upate afya wewe,acha rongo rongo zako hapa.
Mara zote ukweli unauma.Bujibuji nina miaka kadhaa tokea nijiunge na jamiiforum na kwa muda wote huo nimekuwa nikiona post zako na baadhi ya michango yako yaonyesha u mkongwe, lakini kwa hili inaonyesha ni kiasi gani unaporomoka ki uchunguzi uchambuzi na kimtazamo, hao uwaonao wengi wao kama si wote hawana tofauti na wauza kahawa, kuona wamevaa mavazi fulani hiyo si hukumu ya kwamba wao wanawezekana kuwa ni wafuasi wa kundi fulani, ukienda uganda kanzu ni vazi la kitamaduni la baganda, sijui na wao tuwahukumu vipi kwa kuvaa kanzu.
Tusihukumu kitabu kwa sura ya jalada lake.
Pia tambua Answar sunna ni taasisi iliyosajiliwa serikalini kisheria na si itikadi fulani kama walio wengi wanavyofikiri.
Tafakari kabla ya hatua.
Hawa answari ndio chaka la wazee wa suicide vest..kaa mbali nao kabisa.Bujibuji nina miaka kadhaa tokea nijiunge na jamiiforum na kwa muda wote huo nimekuwa nikiona post zako na baadhi ya michango yako yaonyesha u mkongwe, lakini kwa hili inaonyesha ni kiasi gani unaporomoka ki uchunguzi uchambuzi na kimtazamo, hao uwaonao wengi wao kama si wote hawana tofauti na wauza kahawa, kuona wamevaa mavazi fulani hiyo si hukumu ya kwamba wao wanawezekana kuwa ni wafuasi wa kundi fulani, ukienda uganda kanzu ni vazi la kitamaduni la baganda, sijui na wao tuwahukumu vipi kwa kuvaa kanzu.
Tusihukumu kitabu kwa sura ya jalada lake.
Pia tambua Answar sunna ni taasisi iliyosajiliwa serikalini kisheria na si itikadi fulani kama walio wengi wanavyofikiri.
Tafakari kabla ya hatua.
Wengi ni wavaakobazi.Sijawahi kuona mganga wa kienyeji mkristo
Selemani JafoNi kama wakamua juice ya miwa,, wengi ni kutoka zenji
Ni kama wauza nyama idodomya
Ni kama wauza kahawa, idodomya
Ni kama wakata majani ya ngombe hapa mjini wasukuma
Ni kama waendesha mkokoteni hapa mjini, sambaa
Ni kama wenye pesa hapa mjini chagga
Ni kama omba omba hapa mjini gogo
Ni kama wafuga kuku hapa mjini, kurya
Ni kama wamachinga hapa mjini, chinga
Ni kama wachoma/ wakaanga mdudu hapa mjini
Ni kama wakwea minazi hapa mjini, zaramo
Mwisho: Hakuna mzaramo ambae ni MBUNGE hapa mjini
Jibu umepata?
Kwaiyo kuvaa Yale mavazi ya kanzu Ni kuwa na itikadi Kali ya kidini!? Acha bangi dogoSijawahi kuona mtu ambaye anauza alkasusu akiwa amevaa suti, au jezi, au mavazi mengine yoyote.
Wote huvaa ki Aswar Sunnah, suruali fupi na kanzu. Wanavaa sare.
Je, kuna uhusiano gani kati ya wauza alkasusu na itikadi kali za dini?
Je, hawa wauza alkasusu wanafanya biashara au kuna majukumu mengine ya kisiri wanayatekeleza?
Hebu tutafakari
Acha chuki za kidini!Chuki ni Nini?
Chuki ni Nini?Acha chuki za kidini!
BanGI ni Nini?Kwaiyo kuvaa Yale mavazi ya kanzu Ni kuwa na itikadi Kali ya kidini!? Acha bangi dogo
drugsBanGI ni Nini?
drugs