Ninacho ikubali serikali imewahandle wote hapa jirani mtwara walikuwa na msikiti wao mdogo wakiamka tu wanaweka Bender's yao ya kijani.
Wanashinda msikitini wakicheza karate siku nzima.
Kuna siku vikosi viliwavamia wrote usiku mkali wanasombwa hadi Leo sijawaona