samsun JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 7,386 Reaction score 5,965 Jul 23, 2016 #1 Natumai mko poa,kuna hili tatizo nilikuwa nakutana nalo sana kipindi cha nyuma yaani nipo na demu namtongoza lakini cha kushangaza huyu jamaa huku down kesha simama kidedea hii ikoje wadau ???
Natumai mko poa,kuna hili tatizo nilikuwa nakutana nalo sana kipindi cha nyuma yaani nipo na demu namtongoza lakini cha kushangaza huyu jamaa huku down kesha simama kidedea hii ikoje wadau ???
Kig JF-Expert Member Joined Aug 13, 2012 Posts 1,076 Reaction score 458 Jul 24, 2016 #2 kilichokusukuma hadi utongoze mwanamke ni nini? majibu ya swali hili ndio majibu ya swali lako
20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,186 Reaction score 7,184 Jul 24, 2016 #4 Una imagine na ku visualise matukio, inafanya hormones zimiminke na kuchochea metabolism zngine ikiwepo kupeleka damu nyingi uumeni
Una imagine na ku visualise matukio, inafanya hormones zimiminke na kuchochea metabolism zngine ikiwepo kupeleka damu nyingi uumeni
xuxu meyu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 426 Reaction score 369 Jul 24, 2016 #5 Samahani kwanza unamuuliza dokta wa hospitalini au mganga?