Sitachoka JF-Expert Member Joined Nov 17, 2011 Posts 3,030 Reaction score 1,306 Mar 30, 2016 #1 Unatakiwa kuwa mwangalifu wakati wa kufanya mapenzi hasa kama huna mpango wa kuwa mama au baba. Kwa sasa maji baridi yanavyosaidia mwanamke kutoshika mimba baada ya tendo la ndoa, je kuna ukweli juu ya jambo hili?
Unatakiwa kuwa mwangalifu wakati wa kufanya mapenzi hasa kama huna mpango wa kuwa mama au baba. Kwa sasa maji baridi yanavyosaidia mwanamke kutoshika mimba baada ya tendo la ndoa, je kuna ukweli juu ya jambo hili?
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Mar 30, 2016 #2 Hakuna uhusiano ni imani tu.....mkiifatisha mtaibuka na vodafasta
Ok9 JF-Expert Member Joined Oct 5, 2013 Posts 4,549 Reaction score 4,133 Mar 30, 2016 #3 Haina ukweli hiyo... Kama ni kuweka ubaridi... Kumbuka mwili ni automatic unaregulate joto la ndan kulingana na mahitaj..... Hadi hali inapokuwa ngumu sana ndo itafanyika plan b.... Lkn sio easy kuharibu mimba kwa temperature
Haina ukweli hiyo... Kama ni kuweka ubaridi... Kumbuka mwili ni automatic unaregulate joto la ndan kulingana na mahitaj..... Hadi hali inapokuwa ngumu sana ndo itafanyika plan b.... Lkn sio easy kuharibu mimba kwa temperature