Kuna uhusiano kati ya namba 17 na ufundi uwanjani?

Smart AJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
5,564
Reaction score
5,884
Nimejaribu sana kufuatilia wachezaji wanaovaa mamba 17 hapa kwetu na baadhi wa huko ulaya, nimegundua hawa wachezaji huwa na ufundi sana na wanajua sana, ni nadra sana kumkuta mchezaji anavalia namba 17 halafu sio mchezaji mzuri.

Chama - Simba

Faridi Musa - Yanga

Sospeter Bajana - Azam

Sadio Mane - Bayern Munchen

Kevin De Bruyne - Man City

Jafar Salum Kibaya - Ihefu FC

Hasan Mwaterema - Kagera Sugar

Sixtus sabilo-mbeya city

Salumu kihimbwa -dodoma jiji

Hawa ni wachache kati ya wengi ambao mimi binafsi huwa nawakubali sana..
 
Tuisila hivi ana vaa ngapi?
 
Jaribu kuangalia na namba 10 hasa huko Europe utakuja kuikataa hii thd yako.
 
17=1+7
= 8
 
Na ungeogezea hapo kwanini wengi ni midfielders
 
Jamal musiala is the future ballon d'or of our generation super superb talent from jamal musiala the future of football is in safe hands.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…