Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,261
- 17,202
Amini nawaambia, ukiwa na hamu akili kichwani pia zinapungua. Yaani kama ni mwanaume kichwa cha juu hakifanyi kazi vizuri, mpaka cha chini kipate haki yake ndio akili zinarudi.
Angalia hata mwanamke ambae hananiliwi vizuri huwa anakisirani sana na hasira muda wote, hapo ndio utaona shida ya upwiru.
Hata hivyo ni vyema kufanya maamuzi sahihi, kwani ukiendekeza nyege zinaweza kukuharibia mipango yako.