Kuna Uhusiano Upi Wa Siku Ya Christmas Na Mvua Kunyesha?

Kuna Uhusiano Upi Wa Siku Ya Christmas Na Mvua Kunyesha?

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,855
Reaction score
189,385
Heri ya sikukuu ya Christmas na Mwaka Mpya!

Hivi kuna ukaribu upi wa hizi mvua zinazonyesha siku ya sikukuu ya Christmas?

Hata kama kuna jua kali kupika kiasi au hali ya ukame ila ikifika Tarehe 25 December au 26 December lazima mvua itapiga karibia nchi nzima.

Watabiri wa hali ya hewa na wanajiografia hebu tusaidieni hapa?
 
Hivi badogo tupo zama za mawe Kama huyu mweka mada..😅
 
Back
Top Bottom