Heri ya sikukuu ya Christmas na Mwaka Mpya!
Hivi kuna ukaribu upi wa hizi mvua zinazonyesha siku ya sikukuu ya Christmas?
Hata kama kuna jua kali kupika kiasi au hali ya ukame ila ikifika Tarehe 25 December au 26 December lazima mvua itapiga karibia nchi nzima.
Watabiri wa hali ya hewa na wanajiografia hebu tusaidieni hapa?