Asalam waleikhum wanaJF, naomba mnipatie msaada katika hili kwani lanitatiza siku hadi siku kwani mie mgeni katika hili ingawa katika elimu zote zihusianazo na uzazi sikuwahi kukutana nalo, KWA WENYE KUPATA MAUMIVU MAKALI "abnormal Pain" WAKATI WA M.P
ni kweli kwamba ukifanya mapenz siku moja au muda mfupi kabla ya kuanza MP kwaweza punguza maumivu makali ambayo mtu huyapata wakati wa period? na je kuna uhusiano wa kitaalam katika hili la kufanya mapenz na kupunguza maumivu ya MP?
sasa si uzae?[i had a friend nayeye alikuwa na matatizo kama yako akaenda kwa dactari wakagungua alikuwa na matatizo katika cervix yake.. nenda kamuone dactari haraka]
nimefanya hivyo mara kibao ninachoambiwa ni kimoja tu, "kuzaa"
siko tayari na mwana wa nje ya ndoa