kuna uhusiano wa kulifungia gazeti na kufungia website?

kuna uhusiano wa kulifungia gazeti na kufungia website?

snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
1,433
Reaction score
1,176
hivi gazeti likifungwa,mfano Mwanahalisi, na website yao pia hairuhusiwi kufanya kazi?........anayefahamu sheria husika tafadhali atueleze....mwanahalisi.co.tz haipatikani hewani,,,,does this mean hata archives haturuhusiwi kusoma?...nawasilisha
 
AMAZING...nimeangalia sasaivi,imerudi hewani....maajabu ya musa
 
Back
Top Bottom