...'KILA NIKIPATWA NA KAUSINGIZA HASWA WAKATI WA MCHANA, LAZIMA UUME WANGU NAO UTASIMAMA KWA MUDA WOTE AMBAO NAJISIKIA KUSINZIA,' mwisho wa kunukuu...hivyo ndivyo alivyosikika mwanachuo mmoja akimuuliza mwenzake...
NIKAWA CURIOUS KUJUA JIBU LAKINI HAWAKUWEZA KUWA NA JIBU MPAKA NIKAPITA
what i want to know from this, ni je kweli kuna uhusiano wowote wa kibaolojia? usingizi na uume kusimama...
yes,ukisinzia mwili huwa Una relax so damu nyingi au mgandamizo wa damu huelekea sehemu ambayo ii wazi, that is kwenye uume Kuna spongy ambazo huwa zpo empty so wakat umesinzia mgandamizo wa damu huwa unajaza hizo spongy na kufanya uume ucmame.
sijawahi kusinzia mchana mkuu...
nataka nikawasaidie hawa vijana.
hiyo ni kawaida na huo usingizi wa mchana ciyo kitandani...ni kama unasinzia halafu umekaa kwenye kiti kitu lazima kitu kiende hewani.