Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 16,464 Reaction score 35,629 Apr 18, 2011 #1 wana jamii! nilikuwa naomba kujuzwa kama kuna uhusiano wowote kati ya Mwanasiasa Tundu Lissu na mwimbaji wa nyimbo za injili John Lissu.
wana jamii! nilikuwa naomba kujuzwa kama kuna uhusiano wowote kati ya Mwanasiasa Tundu Lissu na mwimbaji wa nyimbo za injili John Lissu.
N Ntali Member Joined Mar 9, 2011 Posts 15 Reaction score 4 Apr 18, 2011 #2 umeuliza swali zuri hata mimi several tyms huwa ninajiulza hilo swali so lets wait labda kuna watu watatupa majibu hapa
umeuliza swali zuri hata mimi several tyms huwa ninajiulza hilo swali so lets wait labda kuna watu watatupa majibu hapa
M malimamalima Member Joined Feb 18, 2011 Posts 66 Reaction score 15 Apr 18, 2011 #4 maswali mengine bana duha!
N Ndelamochi Member Joined Apr 17, 2011 Posts 11 Reaction score 1 Apr 19, 2011 #5 Uhusiano ni katika majina yao.
TzPride JF-Expert Member Joined Nov 2, 2006 Posts 2,616 Reaction score 1,169 Apr 20, 2011 #6 Sidhani kama ni ndugu lakini ni kabila mmoja
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,128 Reaction score 21,885 Apr 22, 2011 #7 Manyanza said: View attachment 27669View attachment 27668 wana jamii! nilikuwa naomba kujuzwa kama kuna uhusiano wowote kati ya Mwanasiasa Tundu Lissu na mwimbaji wa nyimbo za injili John Lissu. Click to expand... hakuna uhusiano wowote,hata jina la mwsho la John umekosea ni Lisu sio Lissu.
Manyanza said: View attachment 27669View attachment 27668 wana jamii! nilikuwa naomba kujuzwa kama kuna uhusiano wowote kati ya Mwanasiasa Tundu Lissu na mwimbaji wa nyimbo za injili John Lissu. Click to expand... hakuna uhusiano wowote,hata jina la mwsho la John umekosea ni Lisu sio Lissu.