Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Obituary (Tanzia). Haya tupeni elimu zaidiWataalam!
Ukiangalia Utofauti wa neno TANZIA na TANZANIA ni mdogo sana!
Je kuna uhusiano wowote wa inchi na neno hilo?
Je, hakuna namna yoyote neno hilo likafutwa kwenye kamusi na kutaftiwa neno mbadala?
Tanzania, tanzia, tanzu, tanzi, tanzanisha, tanzisha, nk ni maneno yanayotokana na mzizi mmoja ^tanza^ wenye maana inayokaribiana na mseto, tata, mchanganyiko, muunganiko, mshikamano, nkHivi inawezekana likifutwa tukaishi milele.....!
MmhTanzania, tanzia, tanzu, tanzi, tanzanisha, tanzisha, nk ni maneno yanayotokana na mzizi mmoja ^tanza^ wenye maana inayokaribiana na mseto, tata, mchanganyiko, muunganiko, mshikamano, nk
Wataalam!
Ukiangalia Utofauti wa neno TANZIA na TANZANIA ni mdogo sana!
Je, kuna uhusiano wowote wa inchi na neno hilo?
Je, hakuna namna yoyote neno hilo likafutwa kwenye kamusi na kutaftiwa neno mbadala?