Habari za Jioni wana Jukwaa,
Katika harakati za kupunguza uzito nimeamua kununua baiskeli ili niwe naendesha maana naona ni zoezi zuri sana kwangu.
Tatizo linakuja hapa kila mwanaume ninaekutana nae njiani wakati naendesha baiskeli ananiambia hiyo baiskeli hiyo subiri uke utanuke.
Naomba kufahamu, je kuna ukweli wowote hapo? Maana naogopa uke wangu kutanuka.