kuna ujuzi

Ntemi

Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
11
Reaction score
0
wana jf ,hii ni shida kiukweli natafuta mrembo lakini shida nikimfata mistari yote inapotea mpaka poz lina kwisha..naombeni maujanja
 
action speaks louder than words....try that
 
domo zege inaitwa hiyo. jitahidi kupeleka majeshi vinginevyo atakuona kaka siku zote
 
Mh isije akapeleka majeshi ya Korea Kaskazini huyu!

Mweh isije ikawa vita.Inabidi mmfunde mwanaume mwenzenu. kuna mwingine anakutokea humtaki anaanza kukuletea hizo za Korea Kaskazini, kweli kazi mnayo.
 
Usiogope mwambie tu maneno machache. Nakupenda dada, mambo mengine atakuuliza yeye ndiyo utaendelea.
 
Sometimes siyo hivyo ila uoga wa kufikiri kuwa wanumia na hawataki hivyo watakutukana. Usione aibu tu mwambie. Au mtafute refikiye wa karibu na uwatoe out kwa kuwazoea halafu huyo ndo mwambie akusaidie
domo zege inaitwa hiyo. jitahidi kupeleka majeshi vinginevyo atakuona kaka siku zote
 
Baadhi ya wanaume wanaona kumtokea demu ni ngumu bora NECTA or University Exams.
 
wana jf ,hii ni shida kiukweli natafuta mrembo lakini shida nikimfata mistari yote inapotea mpaka poz lina kwisha..naombeni maujanja

Ninamfahamu mzee 1 domozege kama wewe...yeye akitamani binti.... binti akijipitisha tu... zee linamonesha bunda la noti..... kama binti mjanja atajua lipi la kufanya... vinginevo nikabidhi hiyo kazi... sharti nikupelekee hadi rum...wewe ukiiingia utamkuta na suti alozaliwa nayo!!
 
1.dada habari yako...
2.umependeza...msifie hata kama hajapendeza...
3.nimekupenda! na ningependa uwe pamoja na mimi kimapenzi....(go straight to the point..LOL:redfaces::redfaces:😛arty:
 
never be afraid to say what u feel,you can only die once.........
 
1.dada habari yako...
2.umependeza...msifie hata kama hajapendeza...
3.nimekupenda! na ningependa uwe pamoja na mimi kimapenzi....(go straight to the point..LOL:redfaces::redfaces:😛arty:

Nipe contacts zake ili nikakutongozee. Lakini inabidi unilipe sh 50000 ya kifuta machozi iwapo atanijibu kunya!
 
just be yourself,
if she likes you,
she likes you for who u are
and u will be more free to express yourself
 
Mkubwa tatizo la mistari kupotea linatokana na kukariri... Usikariri we nenda na freestyle litakalo kuja kinywani mwako kwanza lichuje kama linafaa mtamkie. Kitu kingine unatakiwa kujiamini. Maana kupotea kwa mistari kunatokana na kihoro/woga unaokufika pindi ukutanapo na huyo mwezio. She is a human being just like you! Common boy! Go baby go!! And tell her how you feel about her!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…