Kuna siku mpaka nikanunua maji kuwanywesha mbuzi🤦🙌Hivi kwa jua hili, mbuzi au ng'ombe anagungwa juani kuanzia asubuhi hadi jioni.
Tulia wewe! mleta mada kaandika jambo la muhimu, wahusika waache ukatili dhidi ya wanyamaUna utoto mwingi sana wewe dogo.
Mwamba huoni na wao Wana haki ya kufurahi kuishiUna utoto mwingi sana wewe dogo.
Mbuzi hawana shukran unabahati alikuwa amefungwa baada ya kumaliza kumpa maji angekufuatilia nyuma taratibu unashangaa umepigwa kichwa cha makalioKuna siku mpaka nikanunua maji kuwanywesha mbuzi🤦🙌
Ni kondoo,ila mbuzi hawana shida mbona...Mbuzi hawana shukran unabahati alikuwa amefungwa baada ya kumaliza kumpa maji angekufuatilia nyuma taratibu unashangaa umepigwa kichwa cha makalio
Mbuzi wa wapi hao? Au CCM?Mbuzi hawana shukran unabahati alikuwa amefungwa baada ya kumaliza kumpa maji angekufuatilia nyuma taratibu unashangaa umepigwa kichwa cha makalio
Kumbe huvijui vituko vya mbuzi eeeNi kondoo,ila mbuzi hawana shida mbona...
🤣🤣🤣🤣Nawapenda kweli yaanKumbe huvijui vituko vya mbuzi eee
Siku jaribu kufuga ujionee
Mbuzi wa wapi hao? Au CCM?
🤣🤣🤣🤣Mbuzi wa wapi hao? Au CCM?
Sio sawa na kule INDIA, Mmbwa wanalazwa nje, na kuliwa na Tiger.Waafrika hawajui haki za wanyama.
Ipo siku utashindwa kubeba mimba ya mumeo na kuilaumu ccmUnazungumzia wanyama wakati binadamu wenyewe wanateseka chini ya CCM ya kina Wasira,kuna watu kupata mlo wa SIKU ni bahati na bado hana pa kulala.
Kwahio ukizungumzia wanyama kuteseka wala hawashtuki