GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tumekuwa Tukisia Kuwa Wanawake Hukoma Kupata PERIODS au HEDHI Zao Wakiwa Na Miaka Kati Ya 48 Hadi 53.
Sasa Na Mimi Pia Naomba Kuuliza; Je, Hivi Huwa Kuna UKOMO MAALUM Wa UUME Wa Mwanaume Kuacha KUSIMAMA a.k.a KUDINDA?
Naomba Majibu Yenu Tafadhalini..
Sasa Na Mimi Pia Naomba Kuuliza; Je, Hivi Huwa Kuna UKOMO MAALUM Wa UUME Wa Mwanaume Kuacha KUSIMAMA a.k.a KUDINDA?
Naomba Majibu Yenu Tafadhalini..