GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Big upThink before asking,tangu lini kupandisha hisia kwa mwanamke na mwanaume kukawa na uhusiano na kuzaa?
Mwanamke anafika kikomo cha hedhi kwa maana ya kwamba hatakiwi kuzaa tena na siyo eti ndo mwisho wa yeye kupandisha hisia!!!!hisia ziko palepale na anaweza kusex kama kawaida coz damu inachemka!!!
Na hii ni sawa na mwanaume mwenye uwezo wa kudindisha lakini hazai,Na hii ina maana kuwa mbegu zake hazina nguvu/virutubisho vya kumfanya mwanamke ashike ujauzito!!!
Finally ni kwamba kudindisha kwa mwanaume hakuna kikomo na kukata kwa hedhi si Kutokuwa na hamu ya kufanua mapenzi kwa mwanamke
Bali kuna magonjwa yanaysabbsha mtu Hasidindishe huko mbelen baada ya kuugua kisukari nk au kupiga puli(punyeto)kimasifa.
Kwa nyongeza tembelea daktari yeyote aliekaribu nawewe.
Kuna vitu Sitaki kuviwaza huwa nakosa raha kabisa nikivikumbuka
Naamini mpaka tukifika uzeeni kuna Tech itakuwa imevumbuliwa ya activation yani Kama power bank vile au petrol station unaenda unalipia chaji ya buku au mwekundu kulingana na mahitaji yako... Aisee itakuwa full shangweExpire date noma sana kaka!
Dhu kweli we mpare!Kuna vitu Sitaki kuviwaza huwa nakosa raha kabisa nikivikumbuka
Utanikumbuka siku mojaDhu kweli we mpare!
Naona Umewaza Mbali Sana Wew MzeeKuna vitu Sitaki kuviwaza huwa nakosa raha kabisa nikivikumbuka
Hasa ukiwa umeoa kabinti kazuri ulikokazidi miaka kumi na kitu. Kwamba unaweza shindwa kwenda mlimani ilhali yeye ndo kwanza anaita.Kuna vitu Sitaki kuviwaza huwa nakosa raha kabisa nikivikumbuka
Hivi ni kweli? Kuna jamaa alinihadithia kuwa aliishuhudia kwa jamaa wake wa karibu alipofariki sikuamini.mtu akifa bendera inabaki chuma na mnara chuma
kabisa ni kweli bendera inakuwa chuma na mlingoti chuma na kabla hajakufa ile kitu inatoka kidogo!!!Hivi ni kweli? Kuna jamaa alinihadithia kuwa aliishuhudia kwa jamaa wake wa karibu alipofariki sikuamini.