mwanzo wetu
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 1,581
- 462
Kabisa.....sasa na zile za mwisho je!Kwa ufupi: Yale majimaji ambayo yanatoka wakati wa orgasm hayawezi kumpa mimba mwanamke hata kama yanajaa ndoo kubwa.
Yale maji yanakuwa kama njia tu ya kutunzia na kufanya mayai yapige mbizi.
Ule mshindo mmoja unabeba mbegu maelfu. Hizo ndizo zinazopaswa kuwa strong ili kusababisha mimba
Namm nauliza hapo je zile mbegu za mwisho baada ya zile za kwanza kufyatuka Kama mshale je zinaweza kumpa mimba mwanamke?Kabisa.....sasa na zile za mwisho je!
zinaweza kumpa mimba mkuu, wewe chakufanya anza kuitunza hiyo mimba acha kuikwepa!Namm nauliza hapo je zile mbegu za mwisho baada ya zile za kwanza kufyatuka Kama mshale je zinaweza kumpa mimba mwanamke?
Mkuu ww acha kijiumauma lea tu hiyo mimba usituzuge hapaNaombeni ushauli wakitalamu na wauhakika wakuu maana wengi naona badala ya kueleza vizuri wqnanituhumu kuwa nilee mimba
Ongeza Idadi Nchi Iwe Tayari Sensa Mwakani
Mm natafuta ukwel ili kuweka tahadhari kaka so usiniwazie vibaya nyie nisaidieni nipate majibuš¤Ongeza Idadi Nchi Iwe Tayari Sensa Mwakani
Mimba Za Kubambikiwa Zipo Yaani Kama Kesi Za PoliceMm natafuta ukwel ili kuweka tahadhari kaka so usiniwazie vibaya nyie nisaidieni nipate majibuš¤
Naamini aliufanyia kazi ushauri wakoOngeza Idadi Nchi Iwe Tayari Sensa Mwakani