Kuna ukweli hapa?

Dannis

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2016
Posts
1,603
Reaction score
1,702
Habari za weekend waungwana,
je kuna ukweli wowote kuwa mwanaume/ wanamke asipofanya mapenzi kwa muda mrefu, siku akifanya atapata chunusi usoni na sehemu za siri? Kwa sehemu za siri zinakuwa zinawasha lakini baadae hupotea?
 
'Siku Nyingi' weka idadi ya hizo siku, mwezi, miezi, mwaka, miaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…