Kuna ukweli hapa?

Kuna ukweli hapa?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1545851236316.jpeg
 
Tena na popcorns
Ameandika nini tena??! Huyu naye ametingwa kha!
Social media wengi wanaitumia ndivyo sivyo
Kuelezea maisha yako mazuri kuna wanaokuombea mabaya na kuna wanaokuombea mema na ukiandika mabaya ni vivyo hivyo
 
Joyce Kiria anasema ndoa siyo vita
 
Hiyo inaitwa kila mtu apambane na hali yake, social media weka happy moments tuu. Sad sorrows man matatizo tatua mwenyewe vinginevyo unawapa watu movie bila kiingilio maana kulipia elf 10 Century Cinema wengine ni issue.
Hahaa ..yaani kulipia 10K century cinema nini !!?
 
Inategemea maadau zako watafurahia rafk zako pengne watataka wajue lililokusibu wakufariji sisi wengne tuna scroll tu we don't care we mind our own business
 
Back
Top Bottom