Ameandika nini tena??! Huyu naye ametingwa kha!Tena na popcorns
Joyce Kiria anasema ndoa siyo vitaAmeandika nini tena??! Huyu naye ametingwa kha!
Social media wengi wanaitumia ndivyo sivyo
Kuelezea maisha yako mazuri kuna wanaokuombea mabaya na kuna wanaokuombea mema na ukiandika mabaya ni vivyo hivyo
Hahaa ... mkuu siwaona hata majibu ya baadhi ya watu wa jf yanavyokuwaga" kwa watu wanao leta threads za kuelezea matatizo yao
Hahaa ..yaani kulipia 10K century cinema nini !!?Hiyo inaitwa kila mtu apambane na hali yake, social media weka happy moments tuu. Sad sorrows man matatizo tatua mwenyewe vinginevyo unawapa watu movie bila kiingilio maana kulipia elf 10 Century Cinema wengine ni issue.
Hahaa ..yaani kulipia 10K century cinema nini !!?
Joyce Kiria anasema ndoa siyo vita
asante mama.Polee, sina nafasi au uwezo wa kukuajiri.
Mungu atakujaalia utapata tuu endelea kutafuta.