Hunteroflove Senior Member Joined Sep 18, 2014 Posts 126 Reaction score 92 Apr 12, 2022 #1 Kama mnavyo ona ndugu zetu waliopata ajira TRA hili tangazo ni la ukweli maana mwanzo walisema makao makuu TRA walioitwa kazini wanapaswa kufika leo Wanasema ITA Mikocheni na masharti km yote
Kama mnavyo ona ndugu zetu waliopata ajira TRA hili tangazo ni la ukweli maana mwanzo walisema makao makuu TRA walioitwa kazini wanapaswa kufika leo Wanasema ITA Mikocheni na masharti km yote
Mwizukulu mgikuru JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 5,715 Reaction score 13,739 Apr 12, 2022 #2 Mwizukulu mgikuru
Sirdirashy JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 3,243 Reaction score 3,047 Apr 12, 2022 #3 Taarifa za uhakiki wa matokeo ya form IV ndo kitu gani hicho.
Hunk Man JF-Expert Member Joined Nov 4, 2021 Posts 203 Reaction score 350 Apr 13, 2022 #4 Sirdirashy said: Taarifa za uhakiki wa matokeo ya form IV ndo kitu gani hicho. Click to expand... Hii kitu nasikia Leo au ndio academic transcript nn?
Sirdirashy said: Taarifa za uhakiki wa matokeo ya form IV ndo kitu gani hicho. Click to expand... Hii kitu nasikia Leo au ndio academic transcript nn?
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 Apr 13, 2022 #5 Sirdirashy said: Taarifa za uhakiki wa matokeo ya form IV ndo kitu gani hicho. Click to expand... Hiyo ni kwa walio in service ambao wamekaguliwa na mwajiri wa mwanzo
Sirdirashy said: Taarifa za uhakiki wa matokeo ya form IV ndo kitu gani hicho. Click to expand... Hiyo ni kwa walio in service ambao wamekaguliwa na mwajiri wa mwanzo
Sirdirashy JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 3,243 Reaction score 3,047 Apr 13, 2022 #6 Prince Kunta said: Hiyo ni kwa walio in service ambao wamekaguliwa na mwajiri wa mwanzo Click to expand... Aisee asante kwa kunitoa usingizini maana naona mambo meusi meusi tuu Duuu
Prince Kunta said: Hiyo ni kwa walio in service ambao wamekaguliwa na mwajiri wa mwanzo Click to expand... Aisee asante kwa kunitoa usingizini maana naona mambo meusi meusi tuu Duuu